Auawa madai ya kufumaniwa na mke wa mtu Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Faida Deus (34) mkazi wa kijiji cha Bugalama kata ya Bugalama Halmashauri ya wilaya ya Geita ameuawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu. Read more about Auawa madai ya kufumaniwa na mke wa mtu