Serikali yaombwa upatikanaji wa maji Meatu

Imeelezwa kuwa miradi mitatu ya maji iliyojengwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) eneo la Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, imekumbwa na upungufu wa maji hali inayodaiwa kushindwa kutoa huduma hiyo muhimu kwa wananchi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS