Watu 6 wanusurika kifo Mbeya Watu sita wa familia ya Mchungaji wa Kanisa la Baptist Itezi jijini Mbeya Daniel Mwandenga, wamenusurika kufa baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto ambao chanzo chake bado hakijulikana. Read more about Watu 6 wanusurika kifo Mbeya