Biskuti za bangi zakamatwa Arusha

Kamishna Jenerali wa Mamlaka Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Gerald Kusaya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, katika oparesheni zake, imekamata biskuti 50 za bangi jijini Arusha. Kamishna na Mamlaka hiyo Gerald Kusaya ameeleza kuwa mtuhumiwa Abdulnasir Kombo (30) mkazi wa Kaloleni ndiye aliyekamatwa na biskuti hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS