Atafuna nyama ya binadamu mbele ya polisi

Songwe

Lazaro Adamson (40) mkazi wa Kaloleni wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani Songwe kwa kumuua Berta Shugha (69), na kisha kuukata kata mwili wake vipande vipande na kuuchoma na kuanza kuula kama mishikaki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS