Aziz Ki atemwa kikosi cha Burkina Faso
Kocha wa timu ya taifa ya Burkina Faso Brama Traoré ametaja majina ya Wachezaji atakawatumia kwenye michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, dhidi ya timu za taifa za Senegal na Malawi jina la Mchezaji wa Yanga ya Tanzania Stephane Aziz Ki likikosekana kwenye kikosi hiko.