"Mnavyosema tunapendeza mnatuchanganya" Harmonize

Picha ya Harmonize na Feza Kessy

CEO wa Konde Music Worldwide Harmonize amejibu kinachoendelea kati yake na mrembo Feza Kessy ambao wame-make headlines mitandaoni baada ya kushea picha zao wakiwa pamoja beach.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS