Sugu adai katiba mpya itampa heshima Rais Samia
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, ameshauri uarakishwaji wa upatikanaji wa katiba mpya huku akidai kitendo hicho kitampa heshima kubwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan