Rabbit kufanya kazi na Nisher
Msanii wa muziki Rabbit kutoka Kenya, hatimaye ameweka wazi mtayarishaji muziki ambaye atafanya naye kazi kutoka hapa Tanzania kuwa ni Nisher, na hii itakuwa ni kwa video ya rekodi yake inayokwenda kwa jina Najipendelea.