Shilole akumbuka alivyosota
Msanii wa muziki Shilole ambaye siku ya leo anazindua rasmi video yake mpya ya Kamchukue, ameweka wazi kuwa, mpaka kufikia mafanikio aliyokuwa nayo sasa kisanaa, ilikuwa ngumu sana kutokana na familia na pia mazingira aliyokulia.