Mesen Selekta kujiweka vizuri kimataifa

Mesen Selekta

Msanii na mtayarishaji muziki Mensen Selekta, ameweka wazi kuwepo kwa kazi kadhaa za kimataifa katika studio yake ya Defatality zikiwa ni mkakati wa kujitangaza kimataifa pale zitakapotoka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS