Polisi Zanzibar yakamata Risasi Kisimani
Jeshi la Polis mkoa wa kusini Zanzibar limefanikiwa kuzinasa risasi 123 za kivita zilizokuwa ndani ya magazini Nne ambazo zilikuwa ndani ya kisima huku ikiwakamata watu wawili kutokana na kuondoka na risasi hizo.