Wahisani wa maendeleo wafafanua kuhusu bajeti.

Balozi wa Finland nchini Tanzania na Mwenyekiti wa Wadau wa Maendeleo Bi. Sinikka Antila.

Nchi wahisani wa maendeleo kwa Tanzania, zimetoa ufafanuzi kuhusiana na hatua ya hivi karibuni ambapo nchi hizo zimezuia kwa muda shilingi bilioni 937 ambazo ni misaada yao ya kibajeti kwa Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS