Serikali kulipa madeni yote ya wakulima kwa wakati
Naibu waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi (kushoto) akiteta jambo la Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda.
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA imewatoa hofu wakulima wote waliouza mahindi yao katika msimu huu wa mavuno kuwa watalipwa madai yao yote ndani ya msimu huu.