Ujerumani Kuipatia Tanzania Euro Milioni 20
Serikali ya Ujerumani imeahidi kuipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 20, zaidi ya fedha za Tanzania shilingi bilioni 40 kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya ujangili unaochochewa na biashara haramu ya nyara za taifa.