UKAWA kujadili mbinu za kuing'oa CCM mwakani
Viongozi wa juu wa vyama vinayounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, wanakutana jijini Dar es Salaam jioni hii kujadili kile walichokiita kuwa ni mpango wa kudumu wa kuunganisha nguvu kwa ajili ya kushinda uchaguzi mkuu wa mwakani.