Wafanya biashara Rukwa wafunga barabara

Wakazi wa manispaa ya Sumbawanga wengi wao wakiwa ni wafanyabiashara wa soko kuu, wameifunga barabara yenye shughuli nyingi ya Sokoine kwa kumwaga taka ngumu kwenye barabara hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS