Wakili wa vilabu aikacha Kamati ya Nidhamu ya TFF
Baada ya Kamati ya Nidhamu ya TFF kumwandikia barua ya wito wakili anayevitetea vilabu katika mvutano wa kupinga makato ya asilimia Tano za pesa za wadhamini, hii leo Wakili huyo ameshindwa kuudhuria kikao hicho kilichofanyika hii leo