Wanaume wakimbilia 'Center' kununua wanawake
Baadhi ya wanaume katika Halmashauri ya Shinyanga, wametajwa kuwa chanzo cha matukio ya ukatili wa kijinsia kwani wanatelekeza familia zao na kukimbilia maeneo ya senta kwenda kutafuta wanawake wanaokwenda vijijini kujiuza wakati wa mavuno na kusababisha familia kuwa maskini.

