Wafanyabiashara wazungumzia ulipaji kodi na EFD
Umoja wa Wafanyabiashara nchini Tanzania umesema umeandaa utaratibu maalumu wa kuhakikisha wafanyabiashara wanalipa kodi halali pamoja na kuhakikisha kuwa kunawepo na usimamizi wa wazi katika matumizi ya kodi hizo.