Baby amwagia misifa soko la muziki Kenya?

Baby Madaha

Baada ya msanii wa muziki, Baby Madaha kurejea kwa mashabiki wake na zawadi mpya ya ngoma 'Mahaba Niuwe' akiwa zaidi amekuwa akifanya kazi zake huko Kenya, ameweka wazi kuwepo kwa tofauti kubwa ya soko la shoo za muziki kati ya nchi hiyo na Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS