Michuano Wavu Klabu Bingwa yatimba hatua ya pili

Mwenyekiti wa chama cha mchezo wa Wavu nchini TAVA, Augustino Agapa

Michuano ya Wavu Klabu bingwa Taifa ineandelea leo Uwanja wa Jamhuri mkoani morogoro ambapo timu shiriki za michuano hiyo zimeingia hatua ya pili ya mzunguko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS