Watanzania wana uelewa mdogo wa mchakato wa katiba

Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dkt Hellen Kijo-Bisimba.

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) kimesema kumekuwepo na uelewa mdogo kwa watanzania juu ya mchakato unaoendelea wa kutengeneza Katiba mpya na hivyo kuleta hofu iwapo wananchi wataweza kuipitisha wakati wa kutoa maoni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS