Julio ataka ushirikiano zaidi msanii wa bongofleva nchini Julio Batalia Julio Batalia, msanii wa Bongofleva nchini amewataka wasanii wa Tanzania kuongeza upendo ushirikiano na umoja ili kuwa na nguvu ya kufanya kazi nzuri zaidi na kufanya muziki wa Tanzania utambulike vizuri Afrika. Read more about Julio ataka ushirikiano zaidi