TASWA yaandaa tuzo kwa Wanamichezo Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto Chama cha waandishi wa habari za michezo nchini TASWA kimeandaa tuzo za wanamichezo bora wa mwaka zinazotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Read more about TASWA yaandaa tuzo kwa Wanamichezo