Talib Kweli kutua Kenya Oktoba msanii wa nchini Marekani Talib Kweli Talib Kweli, rapa wa kimataifa kutoka Marekani anatarajia kutua nchini Kenya tarehe 23 mwezi Octoba ambapo atakuwa DJ mshereheshaji katika tukio kubwa la kiburudani huko Westlands Nairobi. Read more about Talib Kweli kutua Kenya Oktoba