Bebe Cool atakiwa kuomba radhi msanii wa nchini Uganda Bebe Cool Msanii wa muziki Bebe Cool ametakiwa kuwaomba radhi watu wa Sudan Kusini, kutokana na hatua yake ya kutangaza kuwazuia kushiriki katika shughuli zake zozote za muziki. Read more about Bebe Cool atakiwa kuomba radhi