Akon kuinua wasanii Kenya
Ziara ya msanii wa muziki Akon nchini Kenya, inatarajiwa kuwa na manufaa pia kwa wasanii wa muziki wa nchini humo kwani kati ya mambo aliyozungumza na kiongozi mkuu wa nchi hiyo, ni kuanzisha mpango wa kuinua vipaji vya wasanii hawa.