Walalahoi wamgharimu Izzo Bizness
Rapa Izzo Business, ameweka wazi kuwa kazi ambayo inatarajia kutoka kwake kwa sasa, Video ya Walalahoi, imemgharimu kiasi cha shilingi milioni 1 na laki 3, na kwa kiasi hicho tu ameweza kufanya kazi yenye kiwango cha hali ya juu.