Serikali yaidhinisha bilioni 290 kwa NEC
Serikali ya Tanzania imeidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 290, kwa ajili ya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura ili liwe la kidijitali, zoezi litakaloendeshwa na kusimamiwa na tume ya taifa ya uchaguzi - NEC.