Wito Polisi iache ukiukwaji wa haki za binadamu
Jeshi la polisi nchini Tanzania limetakiwa kujiangalia upya katika utendaji wa kazi zake na kuacha kukiuka haki za binadamau ikiwemo kutowapiga ama kuwatisha waandishi wa habari wakati wanatekeleza majukumu yao ya kikazi.