Kauli ya Rais yaungwa mkono na vyama vya siasa
Baraza la vyama vya siasa nchini kwa kushirikiana na wenyeviti wa vyama mbalimbali vya siasa, wameeleza kuunga mkono hatua ya Rais Samia ya kuruhusu mikutano ya hadhara na kusema hali hiyo imeonesha ukomavu wa demokrasia iliyopo nchini.

