Akil The Brain kuzindua kichupa EATV
Msanii wa miondoko ya Bongofleva Akil Ze Brain wa nchini Tanzania ambaye amekuwa kimya kwa muda akijiandaa kutoka na kazi mpya tayari amekamilisha kichupa chake kipya alichokibatiza jina 'Habibty' alichomshirikisha msanii maarufu nchini Saraha.