wasanii wa kundi la Goodlyfe Mose Radio na Weasle wa Uganda
Siku kadhaa baada ya msanii Bobi Wine kumsimamisha kazi aliyekuwa Meneja wake, Lawrence Labeja, wasanii Radio pamoja na Weasel wameamua kumchukua jamaa huyu na kumpa kazi ya kusimamia kazi zao.