Chameleone naye kusapoti The Cranes

Jose Chameleone (katikati) akiwa na timu yake

Siku kadhaa baada ya msanii Bebe Cool kutoka Uganda kuchaguliwa kuwa balozi wa timu ya soka ya taifa ya Uganda, Chameleone naye amechukua hatua ya kizalendo na kurekodi wimbo maalum kwaajili ya timu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS