Baba atupa mwili wa kichanga kwenye dampo
Jeshi la Zimamoto na uokoaji mkoa wa Geita limefanikiwa kuokoa mwili wa kichanga cha siku nne kilichokuwa kimetupwa na baba mzazi wa kichanga hicho kwenye dampo la takataka majira ya saa tatu asubuhi ya leo Januari 4/2023

