JUKATA kuandamana kufunga Bunge Maalum la Katiba Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Deus Kibamba. Jukwaa la Katiba nchini Tanzania limeonya kuwa litahamisha maandamano ya wananchi kutoka sehemu mbali mbali nchini, kwenda kufunga ofisi za Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma. Read more about JUKATA kuandamana kufunga Bunge Maalum la Katiba