Waathirika wa mabomu Mbagala waomba msaada wa rais

Moja ya nyumba zilizoathirika na milipuko ya mabomu Mbagala mwaka 2009.

Waathirika wa milipuko ya mabomu iliyotokea Aprili 29 mwaka 2009 huko Mbagala nje kidogo ya jijini Dar es Salaam, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuwasaidia kupata stahiki zao zilizosalia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS