D Knob aingia chimbo kusuka ngoma

msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini D Knob

Rapa D Knob wa nchini Tanzania, amesema kuwa yupo chimbo na prodyuza Villy kutoka Mwanalizombe na Marco Chali pia wa MJ kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa rekodi 3 za nguvu kabla mwaka huu haujakwisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS