Gabu ajitosa kupambana na saratani msanii wa kundi la P-Unit nchini Kenya Gabu Msanii wa muziki anayefanya shughuli zake katika kundi la P Unit kutoka Kenya, Gabriel Kagundu maarufu kama Gabu, ameingia rasmi katika kampeni ya kupambana na ugonjwa wa Saratani nchini Kenya. Read more about Gabu ajitosa kupambana na saratani