Watanzania Mil 25 wanatumia vipodozi hatari

Baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku kutokana na kusababisha madhara ya kiafya.

Asilimia 52 ya Watanzania wanawake kwa wanaume imedaiwa kuwa wanatumia vipodozi ambavyo si salama kwa afya zao na ambavyo matumizi yake yamepigwa marufuku nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS