Serikali kutatua kero ya maji Kiteto

Wananchi Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara

Serikali wilayani Kiteto mkoani Manyara, imesikia kilio cha wananchi wa eneo la Lugejuu Kata ya Partimbo, ambao kwa sasa wanatumia maji  yasio safi na salama wanayotumia na wanyama, kwa kuanzisha mradi wa maji unaogharimu Sh. mil 453 utakaoondoa adha hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS