Madereva mabasi ya mikoani wana leseni bandia

Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Tanzania Mohammed Mpinga.

Idadi kubwa ya madereva wa mabasi ya abiria katika kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam, imedaiwa kuwa wanamiliki leseni bandia za udereva na ambazo hazikidhi sifa za kuendesha mabasi ya abiria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS