Chadema yataka ufanyike uchaguzi serikali za mitaa
Serikali ya Tanzania imetakiwa kuitisha uchaguzi wa serikali za mitaa, ambao hufanyika kila baada ya mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu, pamoja na utekelezaji wa shughuli za uboreshaji wa daftari la wapiga kura.