Pacha wa Harmonize na Diamond wakutana uso kwa uso
Picha ya pacha wa Diamond na Harmonize wakiwa pamoja
Kutoka katika mitandao (KKM) hii hapa ni video ikiwaonesha jamaa wawili waliofanana mionekano kama mastaa wa mziki nchini Diamond Platnumz na Harmonize.