Serikali, Wahisani washirikiana dhidi ya ujangili
Wizara tatu za maliasili na Utalii, wizara za mambo ya ndani ya nchi na ile ya mifugo na uvuvi zimeanzisha kikosi kazi cha pamoja kwa ajili ya kukabiliana na ujangili, uwindaji haramu pamoja na uhalifu katika bahari ya Hindi.