BoT yazundua sarafu ya shilingi mia tano
Benki Kuu ya Tanzania leo imezindua sarafu ya shilingi mia tango, itakayoanza kutumika mwezi ujao na kuchukua nafasi ya malipo pamoja na matumizi yote halali yanayofanywa kwa kutumia noti ya sasa ya shilingi mia tano.