Maximo ataka muda zaidi kwa Maproo Yanga SC
Baada ya kucheza kwa mara ya kwanza katika uwanja wa taifa klabu ya soka ya Yanga ikiwa na kikosi kipya chini ya Mbrazil Marcio Maximo na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Thika United toka Kenya na timu kuonesha kiwango duni hatimaye