NACOPHA na UNFPA zashirikiana kudhibiti Ukimwi
Tabia ya baadhi ya vijana kupenda kwenda kwenye ngoma za usiku na zisizo na maadili maarufu kama kigodoro na kangamoko, imetajwa kuchangia ongezeko la maambuki ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa vijana wengi nchini Tanzania.