Soko la Kilombero Arusha linatisha kwa uchafu

Wafanyabiashara wa Soko kuu la Kilombero lilipo Jijini Arusha nchini Tanzania, wamelalamikia uongozi wa soko hilo kwa kutozingatia usafi wa mazingira na kutojenga uzio wa soko hilo licha ya kulipa ushuru kila siku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS